Lectures & RemindersVideo
Umuhimu Wa Imani 05
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Mada hii inazungumzia: Masharti ya kukubaliwa matendo na imefafanua maana ya kufanya jambo kwa ajili ya Allah, pia imezungumzi umuhimu wa kutafuta elimu kwa ajili ya Allah na kuunufaisha umma wa kiislamu. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.