Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 3
Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa ukarimu wa Allah ni kwamba Allah anawakusanya mahujjaji wote katika viwanja vya Arafa wakiwa katika vazi la aina moja, pia imezungumzia kuwa pepo ndiyo malipo ya mtu mwenye kufanya Hijja ya kweli. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.