Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 4
Mada hii inazungumzia: Sehemu zilizo bora na muhimu kuomba dua kwa mwenye kufanya Hijja kama alivyokua akifanya Mtume (s.a.w) na watu wema waliopia, pia imezungumzia umuhimu wa kuchunga matendo ya Hijja na kuto ya changanya na shirki. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.