Nasaha za vitendo vya Hijja 1
Mada hii inazungumzia: Siku ya Arafa na fadhila zake na kwamba Hijja haikamiliki bila ya kusimama Arafa na ni siku ambayo dua zinajibiwa, pia imezungumzia umuhimu wa kushukuru neema za Allah. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.