Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 2
Mada hii inazungumzia: Mapenzi ya Allah juu ya waja wake na kwamba siku ya Arafa ni sababu ya waja kurudi kwa Mola wao pamoja na kulia sana, pia imezungumzia siku ya Arafa Allah anakuwa karibu na waja wake. By: Yunus Kanuni Ngenda, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.