Lectures & RemindersVideo
Umuhimu Wa Imani 01
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa imani na sababu za kudhoofika umma wa kiislamu, pia imefafanua maana ya kukihama kitabu cha Mwenyezi Mungu na imezungumzia uzito na thamani ya Qur’an tukufu. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.