Lectures & RemindersAudio
Hazina Ya Allah
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia Ufalme wa Allah na kwamba anachukia pindi unapo acha kumuomba, na nahakika mwanadamu anapo ombwa anachukia, na anampa kila mwenye kumuomba na Allah ndio mmiliki wa mbingu na ardhi. By: Yusufu Abdi, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yusufu Abdi, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.