Saa Ya Kujibiwa Dua
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia saa ya kujibiwa dua ambayo inapatikana siku ya ijumaa, amebainisha wakati huo, na pindi mtu anaposhtuka usingizini akiwa amelala na udhu, na baina ya Adhuhuri na Asri siku ya ijuma tano By: Yusufu Abdi, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yusufu Abdi, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.