Sherhu Umdatul Ahkam 23
Shekh anazungumzia: ufafanuzi wa hadithi ya tano na amebainisha upotovu wa rai ya dhwahiriya katika hadithi hii, kisha amebainisha faida za hadithi hii ikiwemo: makatazo ya kukojoa katika maji yalio tuwama, na kwamba Uislam unalinda mazingira, uislam unapiga vita uchafuzi wa mazingira, na usafi nikatika imani. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.