Sherhu Umdatul Ahkam 21
Shekh anazungumzia: Ufafanuzi wa hadithi ya nne, ameeleza maana ya hadithi kwa jumla, kisha akabainisha faida za hadithi: kwamba inafaa kupandisha maji puani na kuyatoa, na nisheria kuosha mikono miwili baada ya kuamka usingizini, aliye lala bila kuambatanisha makalio yake anatakiwa atawadhe upya. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.