Sherhu Umdatul Ahkam 18
Shekh anazungumzia: umuhimu wa kujifunza mambo ya muhimu katika udhu kabla ya kuswali, kisha akataja faida zinazo tokana na hadithi: swala ya mwenye hadathi haikubaliwi, hadadhi ni katika vitenguzi vya udhu… By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.