Sherhu Umdatul Ahkam 09
Shekh anazungumzia: maana ya Bismilahi aliyo iandika mtunzi wa kitabu kabla hajaanza kuzungumzia mlango wa twahara, na sababu ya kuanza na bismilahi kisha akazungumzia umuhimu wa kuanza na bismilahi katika kila jambo. By: Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Twaha Sulaiman Bane, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.