Lectures & RemindersVideo
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 13
islamicmedia.tv·1 view·14 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) katika taratibu za kupiga mswaki na miongoni mwa faida na tiba inayopatikana katika kupiga mswaki, pia imezungumzia nyakati ambazo ni muhimu na ni Sunna kupiga mswaki. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
13 / 31