Lectures & RemindersVideo
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 17
islamicmedia.tv·1 view·14 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya kumtembelea mgonjwa ametaja ubora wa mkutembelea mgonjwa, ikiwemo Malaika elfu sabini wanamuombea dua, na kuzungukwa na rehma, pia imefafanua maana ya malaika kumswalia. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
17 / 31