Lectures & RemindersVideo
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 16
islamicmedia.tv·1 view·14 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mwongozo wa Mtume (s.a.w) juu ya kumtembelea mgonjwa au ndugu katika imani na namna Maswahaba wa Mtume (s.a.w) walivyo dumu na Sunna hii, pia imezungumzia fadhila na malipo yake. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
16 / 31