Lectures & RemindersVideo
Wito wa Mtume (s.a.w) Katika Mwongozo Wake 22
islamicmedia.tv·1 view·14 hours ago
Mada hii inazungumzia: Miongoni wa sababu za mtu kuokoka na Moto wa Jahanam, pia imezungumzia umuhimu wa kutoa kilicho bora kwa ajili ya Allah na hatari ya ubakhili na imeelezea kwa ufupi kisa cha watoto wa Nabii Adam (a.s) Qabili na Habili. By: Yunus Kanuni Ngenda, Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
22 / 31