MASWAHABA WALIOSIFIWA NA MTUME (S.A.W) 4
Mada hii inazungumzia: Maswahaba aina saba waliosifiwa na Mtume (S.a.w) akiwemo wa nne ni Ubayya Bin Kaab (R.a),mtaalam wa kusoma Quraan, na Zaid Bin Thabit mjuzi wa elimu ya mirathi,na Muadh Bin Jabal mtaalam wa halali na haram,na Abuu Ubaydah mwaminifu wa Umati Muhamad. By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.