Adabu Za Safari Ya Kuelekea Hijjah Na Umra
Mada hii inazunguzia: Ubora wa kutia nia thabiti katika safari ili kupata malipo ya safari na malipo ya ibada ya Hijja, pia imezungumzia miongoni mwa sunna za safari kama vile kusoma dua mwanzo na mwisho wa safari kama alivyo fundisha Mtume (s.a.w) By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.