Hija niwajibu kwa nani
1- Mada hii inazungumzia: Hijja ni wajibu kwa Muislam ambaye ni baleghe mwenye akili mwenye uwezo tena mukalafu aliye huru, pia imezungumzia hasara ya mtu mwenye uwezo kisha akafa bila ya kuhiji. 2- Mada hii inazungumzia: Uzembe unaofanywa na baadhi ya waislam wenye uwezo katika kuitekeleza Hija na kwamba ni hasara kubwa kwa watu kama hao, pia imezungumzia kuwa hija ni mara moja tu katika umri By: Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.