Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 6
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Safia bint Huyay (r.a) ambaye ni mwanamke aliyesifika na sifa ya ukweli, pia imezungumzia mafundisho yanayopatika kutoka katika nyumba ya Mtume (s.a.w). By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.