Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 16
Mada hii inazungumzia: Maneno na wasia wa Mtume (s.a.w) kwa binti yake Fatwima na imeelezea heshima na adabu aliyokuwa nayo Fatwima (r.a), pia imezungumzia kwa ufupi historia ya Ummu Kuluthum mtoto wa Mtume (s.a.w). By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.