Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 11
Mada hii inazungumzia: Maneno aliyosema mama Aisha (r.a) kabla ya kushuka Aya kwa Mtume (s.a.w) za kumtakasa kutokana na uchafu aliozushiwa, pia imezungumzia hatari ya kumzushia muislamu uchafu wa zinaa na kwamba ni katika madhambi makubwa. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.