Lectures & RemindersVideo
Je! Katika Nafsi Zenu Hamzingatii
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Madaa hii inazungumzia: Umuhimu wa kuzingatia katika neema za Mwenyezi Mungu Mtukufu, na amebainisha neema ya viungo ikiwemo figo na alama za kuharibika kwake, na amebainisha kazi za figo mwilini, mwisho amezungumzia umuhimu wa kushukuru neema na kwamba mwanadamu ataulizwa. By: Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Salim Barahiyan, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.