Lectures & RemindersAudio
Kubainisha Haki
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kusimama na kuitangaza haki, na kwamba kuibanisha haki ni wajibu kwa wenye elimu na ni sababu ya msingi katika kuihifadhi dini na hukumu zake, imezungumzia pia namna Mtume (s.a.w) alivyoibainisha haki By: Husseni Saidi Sembe, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Husseni Saidi Sembe, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.