Lectures & RemindersAudio
Msimamo Wa Uislam Kuhusu Kujiripua
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia msimamo wa Uislam kuhusu kujiripuwa na aina za kujitoa muhanga,hukumu ya kujitoa muhanga,na sababu za kujiripua na uislam wa mwenye kujiripua. By: Qasim Mafuta, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Qasim Mafuta, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.