Lectures & RemindersAudio
Maadui Wa Uislamu
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mbinu wanazozitumia maadui wa Uislamu lengo ni kuuchafua uislam, lazima watu waisafishe dini ya Allah (S.w), imezungumzia pia ubaya wa kundi la khawarij na uharamu wa kuua au kumwaga damu bila haki. By: Yasini Twaha Hassani Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.