Lectures & RemindersAudio
Baadhi Ya Njia Zinazo Saidia Kuacha Maasi
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
1- Mada hii inazunguzia namna umma ulivyozama katika madhambi na tiba ya kuacha madhambi. 2- Mada hii inazungumzia baadhi ya njia zinazo msaidia mtu kuacha madhambi ikiwemo dua na kushindana na nafsi,na kujiepusha na marafii wabaya. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.