Lectures & RemindersAudio
Baadhi Ya Makosa Katika Kuzika
islamicmedia.tv·1 view·5 hours ago
Mada hii inazungumzia: Baadhi ya makosa katika kuzika, na umuhimu wa kukumbushana na ubora wa kuijufunza ibada na kuisoma, na miongoni mwa makosa katika kuzika nikuweka mto wa maiti, na kufunguliwa sikio na kidole gumba, nakulifanya kaburi pembe nne. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.