Lectures & RemindersAudio
Ibada ndogo zenye malipo makubwa
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii ya sauti inazungumzia Ubora wa kumtaja Allah na Ibada ndogo zenye malipo mengi bishara ya mtume (s.a.w) kwamwenye kufanya dhikri, dhikri nikupandikiza mtende peponi. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Ahmad Al Zahran Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Ahmad Al Zahran
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.