Jinsi Ya Kuyapata Mapenzi Ya Allah
Mada hii inazungumzia: Jinsi ya kupata mapenzi ya Allah, shekh amezungumzia njia mbali mbali za kuyapata mapenzi ya Allah, ikiwemo kupewa hekima, na utulivu na amani na kukinai, pia amezungumzia mambo ukiyafanya utapendwa na Allah. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Ahmad Al Zahran Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Ahmad Al Zahran
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.