Ukarimi wa Allah juu ya waja wake 1
Mada hii inazungumzia: Maana ya ukarimu na kwamba ukarimu wa Allah unadhihirika pale mwanadamu atakapojiangali namna alivyoumbwa, pia imezungumzia vitu bora alivyo wapa Allah waja wake kwa ukarimu wake. By: Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.