Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 3
Mada hii inazungumzia: Uzito na ubora wa siku ya Arafa na jinsi inavyo fanana na siku ya Qiyama pia nikwamba mwenye kufanya Hijja anatakiwa akithirishe kufanya toba, pia imezungumzia umuhimu wa kuendelea kufanya matendo mema baada Hijja. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.