Alaqa Baina ya siku za Hija na siku ya Qiyama 2
Mada hii inazungumzia: Mwenye kufanya Hijja azingatie kila kipengele katika vipengele vya Hijja, pia imezungumzia kuchunga matendo ya Hijja, kukithirisha dua pamoja na kukumbuka Akhera (Qiyama) By: Abubakari Shabani Rukonkwa, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.