Vitendo vya Mahujaji katika siku ya Arafa 1
Mada hii inazungumzia: Ubora wa siku ya Arafa na kwamba ni siku ya kutubia na kuomba dua pamoja na kufanya tasbihi sana, pia imezungumzia umuhimu wa kuwa na yakini na kuto kata tamaa kwani Rehma ya Allah ni pana. By: Yunus Kanuni Ngenda, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yunus Kanuni Ngenda, ZAID BASHIR, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.