Lectures & RemindersVideo
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 13
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Umuhimu wa kutumia maji machache na kujiepusha na israfu wakati wa kutawadha, na kwamba maji ni neema kutoka kwa Allah. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.