Lectures & RemindersVideo
Namna Ya Kutawadha Na Kuswali 157
islamicmedia.tv·1 view·18 hours ago
Mada hii inazungumzia: Yanayo paswa kwa muislam anapo kwenda kuswali idi, kwamba anatakiwa afanye takbira tangu anatoka kwake na akifika kwenye mswala, na hakuna swala ya suna kabla au baada, na hakuna adhana wala iqama. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.