Lectures & RemindersVideo
Wanawake Katika Nyumba Ya Mtume (s.a.w) 7
islamicmedia.tv·1 view·13 hours ago
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya mke wa Mtume (s.a.w) bi Aisha bint Abubakar (r.a) ambaye alisifika na sifa ya ujuzi (elimu), pia imezungumzia ubora na nafasi ya bi Aisha (r.a) katika uislamu. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Mtandao wa satellite wa chanel za Tv Africa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.