Hatari Ya Ushirikina 2
Mada hii inazungumzia: Ubaya wa ushirikina na haatari ya kumsingizia mwanamke uchafu wa zinaa na kwamba uislamu umelinda hadhi na heshima ya mwanamke, pia imezungumzia maana ya msemo: “Hakuna anae towa fatwa na Imamu maliki akiwa madina”. By: Hashim Rusaganya, Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Hashim Rusaganya, Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.