Lectures & RemindersVideo
Hatari Ya Ushirikina 1
islamicmedia.tv·1 view·20 hours ago
Mada hii inazungumzia: Madhambi saba yenye kuangangamiza, na kwamba ni lazima mwislamu ajiepushe nayo kama alivyosema Mtume (s.a.w), pia imezungumzia hatari ya ushirikina na kwamba mshirikina akifa bila kutubu mafikio yake ni motoni. Source: IslamHouse.com
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.