Lectures & RemindersAudio
Siku Ya Arafa
islamicmedia.tv·1 view·6 hours ago
Mada hii inazungumzia Siku ya Arafa, ubora wake, nakwamba Allah anashuka na kuwasogelea kwa waliosimama katika viwanja vya Arafa, na Allah anajifakhari kwa malaika, na yanayo takiwa kufanywa nawale ambao hawako katika viwanja vya Arafa. By: Qasim Mafuta, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Qasim Mafuta, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.