Miongoni Mwa Alama Za Qiyama
1- Mada hii inazungumzia: Miongoni mwa alama za Qiyama ni pindi itakapo potea amana na atakapo pewa majukum mtu asiyefaa basi subirini Qiyama, pia imezungumzia umuhimu wa kuchagua viongozi wanao faa 2- Makala hii inazungumzia: Madhara ya kutegemeza majambo kwa wanawake na watu wajinga wasio na elimu basi umauti ni bora kuliko kuishi, pia imeelezea hatari za ubakhili. By: Yasini Twaha Hassani, Swalehe Ibrahim Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Swalehe Ibrahim
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.