Lectures & RemindersAudio
Miongoni Mwa Hukumu Za Kisheria Katika Twahara Na Swala
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Muhadhara huu unazungumzia namna ya kutawadha,na kuoga,na kutayamamu,kupaka juu ya khofu,na jinsi ya kutawadha mgonjwa.pia namna ya kuswali,yanayo chukiza katika swala,na yanayo batilisha swala,na sijda ya kusahau,na hukumu ya mtu asie swali. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Shahidi Muhamad Zaid Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Shahidi Muhamad Zaid
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.