Lectures & RemindersAudio
Hukumu Za Kula Daku
1- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku sehemu ya kwanza inazungumziya furaha mbili za mfungaji,na Baraka za kula daku,na ubora wakula daku. 2- Mada hii inazungumzia hukumu za kula daku namakusudio ya Baraka katika kula daku,na muda wakula daku. By: Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.