Lectures & RemindersVideo
Qauli yenye faida 19 Kuamini Malaika
islamicmedia.tv·1 view·21 hours ago
Mada hii Inaelezea Maisha ya malaika na chanzo cha kufukuzwa Shetani pia ameeleza kwamba malaika wanaishi peponi na amehitimisha kuelezea kuamini vitabu vya Allah alivyo viteremsha kwa Manabii wake. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.