Lectures & RemindersVideo
Qauli yenye faida 06 Maana ya Kumfuata Mtume Alayhi salam
islamicmedia.tv·1 view·20 hours ago
Mada hii Inaelezea kuhusu Maana ya kumfuata Mtume rehma na amani za Allah ziwe juu yake, kisha ametaja hatuwa za kumfuata Mtume na Maswahaba zake, Kisha ametaja baadhi ya sunnah za Mtume kama swaumu ya Ashuraa. By: Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.