Lectures & RemindersAudio
Uongofu
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Mada hii inazungumzia: Ungofu ni katika neema kubwa za Allah, na binadamu akikosa uongofu huingia katika upotevu, imezungumzia pia kwamba maisha ya dunia ni starehe ndogo sana, na nyoyo zimekua ngumu kwasababu ya tamaa za dunia. By: Qasim Mafuta, Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Qasim Mafuta, Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.