Yapi Tuyafanye Katika Mwezi Wa Ramadhan Ili Tuwe Tumefunga
islamicmedia.tv·1 view·4 hours ago
Mada hii inazungumzia: Mambo yanayoifanya swaumu iwe sahihi na yanayoifanya swaumu kuwa si sahihi, pia imezungumzia umuhimu wa kujiepusha na uongo, kusengenya, na dhulma na vikao vya kipuuzi ndani ya mwezi wa Ramadhani. By: Qasim Mafuta, Yunus Kanuni Ngenda Source: IslamHouse.com · Qasim Mafuta, Yunus Kanuni Ngenda
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.