Lectures & RemindersAudio
Ubora Wa Udhu (Kutawadha)
islamicmedia.tv·1 view·23 hours ago
Mada hii inazungumzia:Fadhila za kutawadha, ikiwemo kuwa na Nuru kwa mwenye kutawadha, pia miongoni mwa ubora wa Udhu nikufutiwa madhambi yake.na kwamba udhu ni silaha kwa Muumini. By: Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Yasini Twaha Hassani, Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.