LibraryDocuments
FADHILA ZA SIKU KUMI (ZA MWANZO) ZA DHUL-HIJA
nullHuu ni ujumbe mfupi, uliokusanya mambo muhimu anayoyahitaji Muislamu katika fadhila za siku kumi za mwanzo wa Dhul-Hija. Tumezikusanya kwa ajili ya mwenye kutembelea Misikiti Miwili Mitukufu, mwanaume na mwanamke; ili wawe na elimu na utambuzi na mambo ya dini yao, tukitaraji kutoka kwa Mkarimu, Mwingi wa kuneemesha awanufaishe kwa ujumbe huu, na aufanye kuwa wenye kufaa, na uwe kwa ajili ya kutaka uso wake tu. Kwani, Yeye ndiye mbora wa wenye kuombwa na Mkarimu zaidi anayetarajiwa. Source: IslamHouse.com
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.
Related
Al-Madiinatu Al-Munawwarah Fadhila zake, Msikiti wa Mtume, Chumba cha Mtume
islamicmedia.tv
3 views · 3 months ago
صناعة الوعي الراشد
islamicmedia.tv
2 views · 22 hours ago
Zuwa Gareki Furen Afirka
islamicmedia.tv
5 views · 3 days ago
Para você Flor da África
islamicmedia.tv
3 views · 3 days ago
A Toi Fleur de l'Afrique
islamicmedia.tv
4 views · 3 days ago
To You Flower of Africa
islamicmedia.tv
4 views · 3 days ago
منهج مخصص للدورات الشرعية القصيرة
islamicmedia.tv
4 views · 3 days ago
إليك يا زهرة أفريقيا
islamicmedia.tv
4 views · 3 days ago
Одаривание рабов Аллаха полезными наставлениями
islamicmedia.tv
4 views · 4 days ago
«Краткое изложение жемчужин превосходных достоинств религии Ислам»
islamicmedia.tv
4 views · 4 days ago