Lectures & RemindersVideo
Namna Mtume (s.a.w) Alivyotumia Chombo Cha Kafiri
islamicmedia.tv·1 view·17 hours ago
Mada hii inazungumzia: Historia fupi ya safari ya Mtume (s.a.w) na Maswahaba (r.a) na jinsi walivyokutana na mwanamke mshirikina akiwa na maji wakayatumia yale katika kumywa na kutawadha. By: Abubakari Shabani Rukonkwa Source: IslamHouse.com · Abubakari Shabani Rukonkwa
Comments
No comments yet. Be the first to share a beneficial reflection.